Thursday, December 31, 2015

Shilole amchana chana Mziwanda,anadai sasa yupo na EDDY KENZO,story nzima ipo hapa

a84070b4-2bf0-48e3-b84f-c7eb000886a9
Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya.

Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya.

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.
SHILOLE2
Shilole na Nuh Mziwanda enzi ya penzi lao.
‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.
‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana,’’Alisema Shilole.

No comments:

MUSIC