 |
| RAIS WA TANZANIA DR. J. P. MAGUFULI |
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe
Magufuli leo amefungua bunge la 11 rasmi huku akiwasihi wab unge
kuungana kwa umoja wao ili kuwahudumia wananchi nakuacha vijembe ambavyo
havilengi kusaidia wananchi.Akiendelea kuhutubia Mh.Magufuli ameongeza
kuwa ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni atazitimiza na Mungu
amsaidia,akiendelea kuzungumza amesisitiza kuwa ni lazima ELIMU itolewa
bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne.
Hata
hivyo wakati akitambulishwa rais wazanzibar Dr.Shein w,wabunge wa
upinzani walianza kupiga makelele na hivyo kupelekea Spika wa Bunge
kuwaondoa ndani ya bunge.
No comments:
Post a Comment