Kikosi bora cha Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017
Leo April 20 2017 PFA wametangaza kikosi bora cha Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, kikosi hicho ambacho kimetangazwa na PFA wachezaji wa Chelsea na Tottenham Hotspurs ndio wamepata nafasi ya kuingia katika list hiyo ya wachezaji 11.
No comments:
Post a Comment