Thursday, August 27, 2015

Haya ndio makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016


Baada ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya, August 27 ni siku ambayo yanapangwa makundi ya klabu bingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016. Makundi hayo tayari yamepangwa katika droo iliyofanyika Monaco Ufaransa.

123
Hafla ya upangwaji makundi imehudhuriwa na wachezaji kadhaa maarufu wa soka akiwemoAndre Iniesta, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Suarez na wengine wengi. Nakusogeza karibu na makundi yote nane ya UEFA 2015/2016.
54
Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE itachezwa mwezi Mei 2016 Sansiro Italia
Kundi A
  1. PSG
  2. Real Madrid
  3. Shakhtar Donetsk
  4. Malmo
Kundi B
  1. PSV
  2. Man United
  3. CSK Moskva
  4. Wolfsburg
Kundi C
  1. Benfica
  2. Atletico
  3. Galatasaray
  4. Astana
Kundi D
  1. Juventus
  2. Man City
  3. Sevilla
  4. Monchengladbach
Kundi E
  1. FC Barcelona
  2. Leverkusen
  3. Roma
  4. Bate
Kundi F
  1. FC Bayern
  2. Arsenal
  3. Olympiacos
  4. Dinamo Zagreb
Kundi G
  1. Chelsea
  2. Porto
  3. Dynamo Kyiv
  4. M Tel-Aviv
Kundi H
  1. Zenit
  2. Valencia
  3. Lyon
  4. Gent

No comments:

MUSIC